Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jokajeusi!Kwa sababu suala la kutokuwepo Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote), halitegemei uwezo wake Jokajeusi kuthibitisha.
Linathibitishwa kimantiki na contradiction ya "the problem of evil".
nazikiaga zikifanyika mkuusala za marehemu unazijua?
Mkuu wakatoliki wakisikia haya unayoshauri watakumeza. Yaani wewe uwe na direct access kwa Mungu? Wanataka uombe kwa bikra Maria au kupitia kwa Padri huku wakikuambia hao ndio wenye access ya kufiksha maombi.kila mmoja ana direct acces kwa Mungu. Kwanini usomewe Biblia, kwanini Uombewe? Mungu anataman kusikia sauti ya mwanae mpendwa ikisema naye, wewe unaenda kusemewa na mchungaji, Mungu anajiuliza kati ya mchungaji na mimi nani mwenye shida?
Mungu hajafunuliwa tu kwenye maandiko hata kupitia nature unaweza kumuina Mungu.
zaka/sadaka uko utaratibu usitoe kiasi cha kuumia bali kwa kadri ya upendo na moyo mkunjufu, sio lazima ila tu kwa kupenda.
Kando ya sadaka na zaka ila mkono unaotoa ndio unaopokea hii ni kanuni yamilele.
Chapisho lako linahitaj attention ya watu. Chapisho limejengwa kwa hoja zinazo demand neutrals na believers kufikiri upya juu ya IMANI zao. Je, ww huoni kua kitendo cha ku question hekima na deeds za 'baba' ni ku push faith yako kwa watu wengne?! (Au unahitaj Master's Degree kwenye hili?!)Wapi nimempush mtu mkuu?
Huenda Baba yangu si Baba yako