Mimi sio mtoto wa kufikia. (Tafakuri)

Mimi sio mtoto wa kufikia. (Tafakuri)

Kwa sababu suala la kutokuwepo Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote), halitegemei uwezo wake Jokajeusi kuthibitisha.

Linathibitishwa kimantiki na contradiction ya "the problem of evil".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jokajeusi!
 
Kwa sababu suala la kutokuwepo Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote), halitegemei uwezo wake Jokajeusi kuthibitisha.

Linathibitishwa kimantiki na contradiction ya "the problem of evil".
Umeelewa nilichokuuliza?
 
kila mmoja ana direct acces kwa Mungu. Kwanini usomewe Biblia, kwanini Uombewe? Mungu anataman kusikia sauti ya mwanae mpendwa ikisema naye, wewe unaenda kusemewa na mchungaji, Mungu anajiuliza kati ya mchungaji na mimi nani mwenye shida?

Mungu hajafunuliwa tu kwenye maandiko hata kupitia nature unaweza kumuina Mungu.

zaka/sadaka uko utaratibu usitoe kiasi cha kuumia bali kwa kadri ya upendo na moyo mkunjufu, sio lazima ila tu kwa kupenda.

Kando ya sadaka na zaka ila mkono unaotoa ndio unaopokea hii ni kanuni yamilele.
Mkuu wakatoliki wakisikia haya unayoshauri watakumeza. Yaani wewe uwe na direct access kwa Mungu? Wanataka uombe kwa bikra Maria au kupitia kwa Padri huku wakikuambia hao ndio wenye access ya kufiksha maombi.
Hili fungu la 1timotheo2:kwao ni kichekesho kitupu
Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu.” (1 Tim.2:5).
 
Daah nimetumia muda mrefu sana kukuelewa lengo lako hasa na maana ya hizi nahau na misemo uko vizuri sana
 
Wapi nimempush mtu mkuu?
Huenda Baba yangu si Baba yako
Chapisho lako linahitaj attention ya watu. Chapisho limejengwa kwa hoja zinazo demand neutrals na believers kufikiri upya juu ya IMANI zao. Je, ww huoni kua kitendo cha ku question hekima na deeds za 'baba' ni ku push faith yako kwa watu wengne?! (Au unahitaj Master's Degree kwenye hili?!)
 
Back
Top Bottom