Mimi sio single tena

Mimi sio single tena

Nadhani heading mmeiyelewa .
Asanteni na usiku mwema.
So nimewahiwa na mtu ninayempenda.

Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali.

Mniache kwa damu ya yesu kristo.
Unapaswa uwahiwe na mtu anaekupenda sio unaempenda.

For a relationship to work out and last long, a man should be the one in need and not a woman.

Mahusiano yoyote ili yadumu na kufika mbali lazima mwanaume awe ndio anayataka zaidi kuliko mwanamke. Mwanaume anaweza kumfanya mwanamke ampende, ila mwanaume kama hampendi mwanamke, mwanamke hana anachoweza kufanya yule mwanaume ampende, hakuna.

So kwa mwanamke, unapaswa uwe unapendwa zaidi kuliko unavyopenda.
 
Back
Top Bottom