8.ubinadamu kaziMimi co WCB ila
1. Kamwambie
2.Mbagala
3.Ukimwona
4. Nitarejea
5.Ntampata wapi
6.Number 1
7.lala salama
Nitazisikiliza mpaka yani basi
Ngoma kali hizo kaka yake zabibu anajua sana Kuna kiwanja nimeturia hapa wanaigonga ngoma moja inaitwa "Mali yangu" full burudani!kama kichwa kinavyoeleza Mimi sio team kiba ila hizi nyimbo zake zifuatazo ntaendelea kuzikubali milele zikipigwa huwa naskia mwili unasisimuka kiasi
1.macmuga
2.sindelera
3.hadithi
4.ile anayosema style ya apple
5.ile anayosema so far away
6.chekecha
7.joint mass one8 africa
11.nasema nawe8.ubinadamu kazi
9.kizaizai...... ila dogo noma sana huyu
Mapenzi matamuNgoma kali hizo kaka yake zabibu anajua sana Kuna kiwanja nimeturia hapa wanaigonga ngoma moja inaitwa "Mali yangu" full burudani!
-Nyerere-
Mkuu umetisha sana ngoma kali sana hiyo!Mapenzi matamu
Ya wawili mashalaah
Waliopendana kwenye hii dunia kama adam na hawa...
Wakati hizo nyimbo ali anaimba madogo wengi walikuwa wanyea nepi sasa si wakongwe tunaelewa no offence ngoma za ali kali hasa hyo mac muga dahkama kichwa kinavyoeleza Mimi sio team kiba ila hizi nyimbo zake zifuatazo ntaendelea kuzikubali milele zikipigwa huwa naskia mwili unasisimuka kiasi
1.macmuga
2.sindelera
3.hadithi
4.ile anayosema style ya apple
5.ile anayosema so far away
6.chekecha
7.joint mass one8 africa
16.Nimpende nani11.nasema nawe
12.mdogomdogo
13.nana
14.utanipenda?
15.SALOME
Kuna nyingine inaitwa my every thing ni noma anasemaNgoma kali hizo kaka yake zabibu anajua sana Kuna kiwanja nimeturia hapa wanaigonga ngoma moja inaitwa "Mali yangu" full burudani!
-Nyerere-
Kuna mahali anaimba...Kuna nyingine inaitwa my every thing ni noma anasema
"Mchana nalala usiku nafanya ibada
Namuomba mola walimwengu wakiweka husda"
Kiba noma sana
Hiyo ngoma naikubari sana kiukweli kijana hajawahi kosea Ngoma zake zote nzuri!Kuna nyingine inaitwa my every thing ni noma anasema
"Mchana nalala usiku nafanya ibada
Namuomba mola walimwengu wakiweka husda"
Kiba noma sana
Jinsi anavyoimba alikiba na wa Tanzania wanavyomchukulia nimeamini uchawi upoKuna mahali anaimba...
we ni kila kituu...la muja de mi vidaa...
Anasemaga hizo ndo silaha zake!!
My every thing nzuri sanaHiyo ngoma naikubari sana kiukweli kijana hajawahi kosea Ngoma zake zote nzuri!
-Nyerere-