Mimi sio team kiba ila..........

Mimi sio team kiba ila..........

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,431
Reaction score
5,336
kama kichwa kinavyoeleza Mimi sio team kiba ila hizi nyimbo zake zifuatazo ntaendelea kuzikubali milele zikipigwa huwa naskia mwili unasisimuka kiasi
1.macmuga
2.sindelera
3.hadithi
4.ile anayosema style ya apple
5.ile anayosema so far away
6.chekecha
7.joint mass one8 africa
 
Ngoma kali hizo kaka yake zabibu anajua sana Kuna kiwanja nimeturia hapa wanaigonga ngoma moja inaitwa "Mali yangu" full burudani!

-Nyerere-
 
Alafu nasikia Jana kulikua na tuzo kule USA kiba kashindwa hats Moja duuu. Diamond amonise wanyakua
 
Nilimshauri kina agombee categories ya amonise ili ashinde akagoma akasena anataka ile categories ya mondi kangukia na kitu chenye ncha Kali kichwani kakosa hata tuzo
 
kama kichwa kinavyoeleza Mimi sio team kiba ila hizi nyimbo zake zifuatazo ntaendelea kuzikubali milele zikipigwa huwa naskia mwili unasisimuka kiasi
1.macmuga
2.sindelera
3.hadithi
4.ile anayosema style ya apple
5.ile anayosema so far away
6.chekecha
7.joint mass one8 africa
Wakati hizo nyimbo ali anaimba madogo wengi walikuwa wanyea nepi sasa si wakongwe tunaelewa no offence ngoma za ali kali hasa hyo mac muga dah
 
Ngoma kali hizo kaka yake zabibu anajua sana Kuna kiwanja nimeturia hapa wanaigonga ngoma moja inaitwa "Mali yangu" full burudani!

-Nyerere-
Kuna nyingine inaitwa my every thing ni noma anasema
"Mchana nalala usiku nafanya ibada
Namuomba mola walimwengu wakiweka husda"
Kiba noma sana
 
Kuna nyingine inaitwa my every thing ni noma anasema
"Mchana nalala usiku nafanya ibada
Namuomba mola walimwengu wakiweka husda"
Kiba noma sana
Hiyo ngoma naikubari sana kiukweli kijana hajawahi kosea Ngoma zake zote nzuri!

-Nyerere-
 
Back
Top Bottom