Mimi sio team kiba ila..........

Mimi sio team kiba ila..........

kama kichwa kinavyoeleza Mimi sio team kiba ila hizi nyimbo zake zifuatazo ntaendelea kuzikubali milele zikipigwa huwa naskia mwili unasisimuka kiasi
1.macmuga
2.sindelera
3.hadithi
4.ile anayosema style ya apple
5.ile anayosema so far away
6.chekecha
7.joint mass one8 africa

Kwahyo ww team gan............

Me chelsea 😀 😀

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Ndio huyo aliye imba wimbo wa 'moyo wangu'.yupo vizuri Nina mjukuu wangu hapa ananiambia anaitwa simba
 
Mi chura tu, ikipigwa hata kama naendesha gari itabidi nitafute parking.
 
karimu
run dunia
wife wa dunia
single boy (diamond anaililia mpaka leo)
nichumu
njiwa
sikuoni
my everthing
aje
mwana
achana na za kushirikishwa kama

prettygal
wajua
uncondional bae
one 8
mboga saba
wajua
nai nai

huyu kiba huyu we acha tu
 
Back
Top Bottom