Mimi sitaandamana Oktoba 29, wewe je?

Mimi sitaandamana Oktoba 29, wewe je?

Umejaribu kujificha ficha lakini unajulikana tu hata ujifiche vipi maana posts zako nyingi ni uharo mtupu full uchawa + ukobazi. Wewe ni Kobazi mmojawapo wa hovyo mwenye fikra duni unayedhani kuwa kwa vile rais ni kobazi basi una unafuu na kwamba hutakaa utekwe. Lakini shetwani hana rafiki my friend. Just wait and see!

View attachment 3493845
Kwamba huyu ni mimi?! au Mihemko inakutesa mkuu.
 
Fuatilia vuguvugu la Madagasca Kenya na Nchi zilizo fanikiwa katika Maandano yao utagundua kitu.

1. Mipango
2. Lengo

Kenya walikua wanapanga ni mahali gani tutakutania kisha wanafuata lengo lao kwa siku hiyo Maandamano yanaelekea wapii hii inasaidia kujua tathimini ya watakao Umia na Fufa na hata kukamatwa.
Nadhani utakua umeelewa.
Kwa hio unataka kusemaje uvujishiwe siri ya kambi malengo na mipango plus mbinu ni siri ya waandamanaji, hupewi hio code wewe endelea ku-guess wataibukia nyumbani kwa yule dogo anaenunua G Waggon na MaBuggat kwa pesa za masikini walipakodi
 
Acha kuingiza udini hapa,ni wapi mleta mada ametaja issue ya udini? hizo screen shot ulizoweka hapa kama reference kuna issue ya udini hapo? jiheshimu.
Mbona hujaporomosha matusi kama ilivyo kawaida yako kutukania watu mama zao hasa ukobazi ukitajwa? Usipoporomosha matusi comment zako wala hazinogi. I am 100% disappointed! 👹👹👹👹
 
Jibu nilichokuuliza,ni wapi mleta mada ameleta udini? simple tu,

Wewe ndio unaonekana una chuki ya udini ndio maana akili yako ikakutuma kuwaza udini,

Ukija na lugha ya matusi utajibiwa kama utakavyokuja,hakuna mtu anayetukanwa bila sababu,anayejiheshimu pia huheshimiwa.
 
Huyu ni @icebreaker mwenyewe original anayeongoza kwa kutukania watu mama zao humu (utafikiri yeye hakuzaliwa na mwanamke) au ni mwingine? Au kuna mtu amedukua akaunti yako?

Aiseee! Hakukosea aliyesema kua uyaone! 😁
 
Ukipata jibu la nilichokuuliza uje tena hapa,hizo ngonjera sio jawabu la swali langu,
Punguza kuingiza udini kwenye kila mada,mleta mada pia kakuuliza hizo screen shot ulizoweka hapa ndio yeye? huna la kujibu mpaka leo.
 
20251023_070537.png

Anyway. Labda tu anajizima data lakini mleta mada anajua ni kwa nini nimemuwekea hizo screenshots. Wewe tu ndiyo umedandia SGR kwa mbele (baada ya kuona ukobazi umetajwa) ukaanza kujibizana nami bila kujua muktadha sahihi.

All is good, though...and I am out!
 
View attachment 3494547
Anyway. Labda tu anajizima data lakini mleta mada anajua ni kwa nini nimemuwekea hizo screenshots. Wewe tu ndiyo umedandia SGR kwa mbele (baada ya kuona ukobazi umetajwa) ukaanza kujibizana nami bila kujua muktadha sahihi.

All is good, though!
Itoshe tu kukwambia kua una akili za kitoto,sidhani hata kama unakielewa ulichokipost hapa,

Unaweza kuweka ushahidi hapa kua hizo screen shot ni za mleta mada?
 
Narudia tena. Wewe umedandia SGR kwa mbele bila kujua kinachoendelea. Umeona tu ukobazi umehusishwa basi ukarukiamo. Inaonekana umeumia kuliko hata mleta mada niliyekuwa nimemlenga.

Akili za kitoto!?😳

Labda tukuulize wewe mwenye akili kubwa uliyedandia maongezi yasiyokuhusu na kukomaa kujibishana na mtu mwenye akili za kitoto!
 
Ndio maana nakwambia umeonyesha akili za kitoto,
JF is an open forums,unaposema sijui mtu amerukia ndio akili za kitoto hizo,ukiweka uzi au comment hapa inakua sio mali yako tena,inakua ni mali ya JF na kila mtu anakua huru kuchangia,

Eti bila kujua kinachoendelea!! are u serious? kinachoendelea umemtuhumu mleta mada aache udini,ndio nimekuuliza ni wapi mada imeongelea udini? huoni ku wewe ndio una udini ndio maana ukawaza kua mleta mada ni mdini wakati hakuna sehemu aliyoongelea dini yeyote ile?
 
Ndio maana nakwambia umeonyesha akili za kitoto,
JF is an open forums,unaposema sijui mtu amerukia ndio akili za kitoto hizo,ukiweka uzi au comment hapa inakua sio mali yako tena,inakua ni mali ya JF na kila mtu anakua huru kuchangia,

Eti bila kujua kinachoendelea!! are u serious? kinachoendelea umemtuhumu mleta mada aache udini,ndio nimekuuliza ni wapi mada imeongelea udini? huoni ku wewe ndio una udini ndio maana ukawaz hivyo?
Akili za kitoto unazo wewe unayejiingiza kwenye mijadala isiyokuhusu na kuifanya iwe personal kwako kisa tu dini yako imetajwa.

Umejuaje kuwa nimemtuhumu? Unajua ni kwa nini niliiweka hiyo comment na screenshot?

Umedandia SGR kwa mbele bila kujua kinachoendelea 📌📌📌📌📌📌
 
Mjadaa upo JF halafu unasema haunihusu?!
Umejuaje kuwa nimemtuhumu? Unajua ni kwa nini niliiweka hiyo comment na screenshot?
Kumbe hata huna akili ya kukumbuka ulichokiandika sio? rudi juu soma ulichokiandika,mpaka ukamwambia anamsapoti rais kisa dini! mada haikutaja dini,chuki ya udini itakutoa vidinda vya tumbo usipokua makini
Umedandia SGR kwa mbele bila kujua kinachoendelea 📌📌📌📌📌📌
Haka kamsema ndio utoto wenyewe,Mwanaume anayejielewa hawezi kutumia haka kamsemo
 
Back
Top Bottom