Mimi siwezi kuandamana nchi nzuri kama Tanzania

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Niwe tu mkweli bado sijaona sababu za kufeli maisha mazuri hapa Tanzania kwa sababu mimi nimekuja duniani na nimekuta mazingira yote nayoyataka sasa kwanini nipinge formula nzuri kama hio.

Yaani nchi yenye ardhi inilishe na kuninywesha halafu niikanyage Kwa dharau hio ardhi sitaki.

Nishatosheka na MAZINGIRA imebaki ni fight kwenda MBINGUNI siwezi eti niteseke na Wezi wakati najua wako wengi sana.

Tuongee tu ukweli unatesekaje na ma mifumo najua ndio kuna kero katika maisha ila kero nyingine zinakunyimaje raha na kufaidi faidi na kufurahia.

Yaani nitoe mfano serikali iamue tukwate hela fulani kwenye chanzo fulani unakuta ni hela ya kawaida tu ambayo sio kubwa haitishi mimi kwanini niogope maisha hayo nitasikitika siku ukinambia Masoko na magenge na bar imegoma kutoa huduma.

Ila sio maduka kwanza me sio mdau wa kununua simu, nguo, vifaa, wala materials.

PIA SOMA

- LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi

 
Wengi wenye kauli ka izi n watumishi wa umma tena wale wa local government vishaongezewa mshahara laki moja na mama samia baada ya kujaza pepmis za uongo uongo bhas kilichobak n pumba tu kuongea yaan hii nchi n ya mafala kupitiliza
 
Umri wako tafadhali si ajabu ndege John ni kibabu jua limezama
 
Hata kama mambo yako yanaenda vizuri jifunze kulia na wanaolia
Huo ndio utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…