Mimi siwezi kuandamana nchi nzuri kama Tanzania

Mimi siwezi kuandamana nchi nzuri kama Tanzania

Niwe tu mkweli bado sijaona sababu za kufeli maisha mazuri hapa Tanzania kwa sababu mimi nimekuja duniani na nimekuta mazingira yote nayoyataka sasa kwanini nipinge formula nzuri kama hio.

Yaani nchi yenye ardhi inilishe na kuninywesha halafu niikanyage Kwa dharau hio ardhi sitaki.

Nishatosheka na MAZINGIRA imebaki ni fight kwenda MBINGUNI siwezi eti niteseke na Wezi wakati najua wako wengi sana.

Tuongee tu ukweli unatesekaje na ma mifumo najua ndio kuna kero katika maisha ila kero nyingine zinakunyimaje raha na kufaidi faidi na kufurahia.

Yaani nitoe mfano serikali iamue tukwate hela fulani kwenye chanzo fulani unakuta ni hela ya kawaida tu ambayo sio kubwa haitishi mimi kwanini niogope maisha hayo nitasikitika siku ukinambia Masoko na magenge na bar imegoma kutoa huduma.

Ila sio maduka kwanza me sio mdau wa kununua simu, nguo, vifaa, wala materials.

PIA SOMA
- LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi

View attachment 3026179View attachment 3026180View attachment 3026181View attachment 3026183View attachment 3026184View attachment 3026185View attachment 3026189View attachment 3026190
Tahila hawezi kuandamana maana yeye akishiba anaona kama yuko mbinguni. Wanao andamana ni watu wenye akili timam .
 
😁😁😁 Jaribu basiiii kuwafata hao mabeberuu tuonee
Babu zetu wangekua na akili za kindezi kama zako leo wazungu wangekuwepo lakini walipambana leo kijana km ww kuna watu wanakula kodi zenu wanauza rasilimali zenu uko kimyaaaaa dah hasara hii
 
Back
Top Bottom