D
Inaonekana wamfahamuMbona kapigwa ban?
Mkwe ngoja tumwambie atoeNdio[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]nani kamuambia aweke picha yangu!!![emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]mkwe unaruhusu vipi Mali za Li ziwe hadharani
Aaaaah. Kazingua bwana.Kaweka eti herufi ya mwanzo na mwisho wa jina la huyo mtu...
Asa code mi najua wapi mambo hayoo
Heeey cute...Hey boo
Mzima wewe shoga?Heeey cute...
Doh!! Niliquote vibaya..kumbe demiss ndie aliepigwa ban jamanMbona kapigwa ban?
Mie mzima sijui wewe shoga anguMzima wewe shoga?
Sijambo kabisaMie mzima sijui wewe shoga angu
Shunie minyotaaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
watu hawapendi vitu vigumu vigumu ujue
Mkwe unaniita Eeeh??
Najuta na picha ya watu we dada acha kuniadhiri basiNdio[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]nani kamuambia aweke picha yangu!!![emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]mkwe unaruhusu vipi Mali za Li ziwe hadharani
Unaomba Pooo ww nimekushtukia.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Don't mess up with DEMISS! Ni zaidi ya mange kimambi!! [emoji23] TRUTH IS MIMI NAKUPENDA SANA NA NAPENDA UNACHO POSTI!!
Mkwe ngoja tumwambie atoe
Mrudishie mkwe wangu picha yake tafadhaliNajuta na picha ya watu we dada acha kuniadhiri basi
Mrudishie mkwe wangu picha yake tafadhali