Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Mfalme Suleiman anasema;
Nimejaribu kila kitu chini ya jua nikagundua kila kitu ni ubatili na kujilisha upepo.
Alisifiwa kila kona kwa hekima na utajiri lkn akagundua ni ubatili mtupu. Akafunua kila kyupi cha mwanamke wa ukoo wa kifalme na mtoto wa fukara akaona hazina tofauti akasema huo nao ni ubatili mtupu.
Kupendwa au kuchukiwa ni ubatili mtupu.
Nikikuchukia kuna yupo anakupenda, nasema huu nao ni ubatili na kujilisha upepo.
Hakuna aliyebora na asiyebora.
Mrembo ana madhaifu yake na asiyemrembo ana uzuri wake...tatizo nini?
Chuki za nini?
Umenena
 
My dear Demiss ... calm down.

Ukilalamikia kusemwa, Nifah asemeje?
Ingekuwa kusema ni kiwango cha elimu basi mimi ningekuwa na PhD ilhali wewe ungekuwa ‘o level’.

Labda tu nikuambie,ktk Dunia hii huwezi kuwazuia watu kusema,kamwe!
Kaa ukijua kwamba watu wameumbiwa maneno hivyo lazima waseme.

Mind your own business na shikamana na wale wanaokupenda tu,nikiwa na maana usiwape attention wabaya wako.
Usiwajibu wala usijieleze,huo ni udhaifu mkubwa kuliko.
Na ukiona hausemwi utakuwa haupo duniani anza kuwa na wasiwasi sana
 
Mambo yako binafsi ni mambo yako binafsi, ukiamua kuyaleta humu ni maamuzi yako. Mimi sana sana ntaenjoy pumba na mchele hizo.
Ila kuna baadhi ya vitu unatakiwa kuvunga, hayo mambo ya sijui una kazi yako, sidhani kama sahihi kutuambia sisi, inakuwa kama unatutambishia, wakati wala hatuna habari.
Mimi ni hayo tu, no hard feelings.
 
Back
Top Bottom