Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huo wivuWengine hata hamfahamiani bhn nashangaa tu mnagombana
Mie huwa najiulizaga hivi kila sikuDuh!Hii Jf watu mnajuana sana!Hadi mna maindiana hivyo!
Inasababishwa na nn hii?Kuna mambo huku acha tu. Watu wanakua marafiki wanagombana wanachukiana bila hata kuonana sura zao [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshindwa hata cha kukujibuInasababishwa na nn hii?
Maana utakuta watu humu wanamaindiana balaa ,nijibu kwa uzoefu wakoNimeshindwa hata cha kukujibu
Hukujibu uliuliza.Maana utakuta watu humu wanamaindiana balaa ,nijibu kwa uzoefu wako
OK nakuuliza tatizo huwa ni nini?Hukujibu uliuliza.
Sema bibieIla wewe?
Mimi hapa haya na wewe lete maneno yako..Nani huyo tena anaekufanyia fitina Demiss ?
Ananisema mimi nafikiri umeshanijua.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole yake huyo kijusoooo!!!
Mwanamke au mwanamme