Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha murua kabisa kwangu starehe nzuri mno. Napenda kuwa hater kuliko kuwa rafiki. Maisha mafupi haya ishi utakavyo. Demiss ukija endelea na life yako ya JF kama kawada huu uzi ni kumuongezea furaha ur hater.
Haki tena nakuambia kuna majitu yanasifa humu balaa...kichefuchefu kabisaa....!!!

Mpk wajiuliza huyu vipi,karogwa au kavurugwa na maisha!
 
Hawezi kufurahi kwa sababu anamfatilia ndo maana akamuandikia Uzi...ili auone!

Mods tu wamembania...nusu amlipue hapa...!!!hapa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…