Mimi siyo shoga jamani

Mimi siyo shoga jamani

jamaa anaweza kuwa sio shoga ila ana pozi za kishoga ndio maana watu wanamhisi vibaya picha zake nyingi anapiga akiwa ameweka pozi za kishoga shoga, mbon watu kama Diamond au Ally Kiba hawajasemwa kuwa ni mashoga kasemwa yeye tu. kama anasoma hizi thread namuomba agangamale kiume sio kuweka pozi kama choko wanaume hawako hivyo kama kuna mtu ana picha zake aziweke utaona ana pozi kama choko

Ali Kiba ashazushiwa kuwa ni shoga na diamond naye nadhan kuna thread ya wanja soma comments ndo utajua wabongo nuksi
 
Siku zote ukijitia unaonyesha wendawazimu utaishia kuwa mwendawazimu kiukweliukweli...
 
Ukiwa msanii utakumbwa na Mengi sana!
 
Kuna taarifa huyu jamaa alimgonga Wema, mpaka Diamond akakasirika na kumpiga staa huyo wa kike kwamba kwanini alimpa kitumbua chake adui yake, na sosi wa jambo hili alikuwa ni Shetta, sasa inawezekana Bob Junior akawa anapakuwa na kupakuliwa?
 
Jamani hata kama ndio kweli yako mwenyewe, kwa raha zako..
 
nimelipenda pozi lake na ngozi yake nyororo! mtoto maashallah
 
Najua we mbishi ,vp ngoma zetu za asili kuna mauno ya kufa mtu mbona hawaitwi mashoga? huyo kuna namna bhan

umeshasema ngoma za asili...........
 
Back
Top Bottom