Mimi umbali wa Dar-Chalinze naujua maana nilitembea na mke wangu mtanambia nini?

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
 
Ni kwamba mlikua hamna nauli au ilikuaje? Maana hiyo distance ni ndefu sana, nampa pole sana wifi yetu maana alichopitia hatosahau maishani mwake
 
Tuliamua tu, mimi na mke wangu haaa tulitembea na pote tunapajua
 
Wakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
Kweli una file milembe
 
Sisi tunafuata maneno ya viongozi wetu wakishasema yesu alikua na mke wewe nani hadi upinge
 
Wakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
ENDELEAAA MKUU
 
Back
Top Bottom