Mimi umbali wa Dar-Chalinze naujua maana nilitembea na mke wangu mtanambia nini?

Wakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
Kule India ulikoenda kutibiwa itakuwa Kuna kitu walikosea
 
Hili ni tatizo la nesi wa zamu walimuacha na mkasi kwenye ubongo.

Wee mkuu endelea tu na shemela utatukuta wenzako hapa njia panda msata tunakula nanasi.
Harusi yako imeahirishwa mpiga ngoma amegoma kuja
 
Wakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
Mh huyu jamaa Arovera atakuwa hai kweli?
 
Back
Top Bottom