Na hapo bado hawajaruhusu bangi..[emoji28]
Haya toa tangazo la kuomba msamaha kwa kutupiga fix. Huyo alikuwa mke wako au bi mkubwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hapo bado hawajaruhusu bangi..[emoji28]
Ni kwamba mlikua hamna nauli au ilikuaje? Maana hiyo distance ni ndefu sana, nampa pole sana wifi yetu maana alichopitia hatosahau maishani mwakeWakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
Ni kwamba mlikua hamna nauli au ilikuaje? Maana hiyo distance ni ndefu sana, nampa pole sana wifi yetu maana alichopitia hatosahau maishani mwake
Na hapo bado hawajaruhusu bangi..[emoji28]
ntarudi
Kweli una file milembeWakuu
Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua.
Mimi nilitembea na mke wangu kutoka kimara tukaenda hadi mlandizi tukakosa pa kulala, tukasogea hadi Ruvu mdaula yote yani huwezi kunificha mimi hayo maeneo yote nayajua sana sema tu naamua kukaa kimya, au mnabisha niendelee?
Kwa hiyo ikawaje mkuu ..sasa hivi muda huu mumefikia wapi?
ENDELEAAA MKUUWakuu