gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Na streka ateba siyoHayo tunayajua, hapo la muhimu ni kushindwa kubeba Kombe....! Yanga ilishindwa kubeba Kombe.
Mnyama anaenda kubeba Kombe....!
Tz hii ni marufuku Yanga kutangulia kuweka Rekodi yoyote. Lzm Simba ianze hlf Yanga ndo iwe ina struggle kuifikia rekodi...!
Yanga damu wa mchongo kutoka mikia fc aka kolowitches(1)SIMBA INAKWENDA MISRI
(2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO
Yanga anaenda Singida.
View attachment 3281663
Demu na soka wapi na wapi!mimi simba lkn ukweli mchungu,simba anaenda misri kukamilisha ratiba ya robo fainali kama kawaida yake,taifa stars anaenda morocco kula kono la nyani,yanga anaenda singida kula bata
ya nini kujitesa na hiyo mizunguko ya misri na morocco kuwatia watu hasara si bora hiyo hela serikali ingejenga zahanati na Mo angelia bata kama yanga
Kwanini unatumia silaha za kemikali, huu ni uhalifu dhidi ya binadamu(1)SIMBA INAKWENDA MISRI
(2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO
Yanga anaenda Singida.
View attachment 3281663
Umebeba mdigo mzigoMimi Nipo Njiani Naelekea Tanga Kwa Wakwe