Sasa hizo ni akili yaani kila mwaka tupewe muda tu timu gani inakuwaga ivo miaka yotemimi naona simba ndio mbovu zaidi, pamoja na kucheza pamoja muda mrefu hakuna kitu, mechi na ihefu walibebwa na refa, juzi na mtibwa hakuna walichocheza mpira wa hovyo hovyo, bora yanga hawajakaa pamoja muda mrefu tuwape muda
Usiseme simba mbovu tusubili tare 20.09 uone Simba akiwa mkapa stadium anacho kifanya dhidi ya biashara nyie mkienda viwanja vibovu mnalalamika kwa nn jana mlishindwa kuonesha ubora wenu kwenye kiwanja safimimi naona simba ndio mbovu zaidi, pamoja na kucheza pamoja muda mrefu hakuna kitu, mechi na ihefu walibebwa na refa, juzi na mtibwa hakuna walichocheza mpira wa hovyo hovyo, bora yanga hawajakaa pamoja muda mrefu tuwape muda
Kmc ndo hatuwawezi kabisaWanayanga mujitathmini kwa mara nyingine kuchukua ubingwa sidhani maana kwa ule mpira wa jana hakuna combination kabisa pale kati sasa sijui mkikutana na ihefu, mtibwa , kmc sijui mtakuwa kwenye hari gani
Tatizo mnaingia uwanjani na matokea sio kuangalia mpira.Spirit gani wewe mpira haueleweki na hapo ndo kiwanja kizuri je tukienda kwenye vumbi
Jana vyura wamebebwa sana na refa[emoji23][emoji23][emoji23] aibu,mimi naona simba ndio mbovu zaidi, pamoja na kucheza pamoja muda mrefu hakuna kitu, mechi na ihefu walibebwa na refa, juzi na mtibwa hakuna walichocheza mpira wa hovyo hovyo, bora yanga hawajakaa pamoja muda mrefu tuwape muda
Babuu! Mbona unatumia nguvu nyingi kujitambulisha wewe kama mshabiki wa yanga, juzi napo kwenye suala la jezi pia ulijitambulisha kama shabiki wa yanga. It seems unatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa wewe ni yanga ila uhalisia wewe ni.....!Mbeya city wabovu tu yaani ule ushindi wa jana nawewe ndo umeona ushindi tunaoutaka
Yaani ile timu sio kwa simba tu hata azam atatupiga nyingi