Mimi Yanga ila kwa mpira ule na Mbeya City tuombe Neema za Mungu tu

Watu wanakimbilia kwenye matokea tu lakini hawataki kuangalia ugumu wa mechi husika, mpira kama wa Jana ndio unaotakiwa kwenye ligi yetu.

Timu zote zilicheza mpira mkubwa, mwisho wa siku alietumia nafasi vizuri akaondoka na point.
 
O

Babuu! Mbona unatumia nguvu nyingi kujitambulisha wewe kama mshabiki wa yanga, juzi napo kwenye suala la jezi pia ulijitambulisha kama shabiki wa yanga. It seems unatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa wewe ni yanga ila uhalisia wewe ni.....!
Ninauchungu na timu yangu ndomana
 
Kmc wanacheza mpira unaonekana tofauti na yanga hii timu najuta kuishabikia
 
Watu wanakimbilia kwenye matokea tu lakini hawataki kuangalia ugumu wa mechi husika, mpira kama wa Jana ndio unaotakiwa kwenye ligi yetu.

Timu zote zilicheza mpira mkubwa, mwisho wa siku alietumia nafasi vizuri akaondoka na point.
Sasa yanga walivosajili kwa gharama unasumbuliwaje na timu ambayo ilikuwa ishuke daraja
 
Sasa hivi ndio mnajua timu ndogo zinakamia ngojeni mtoke nje ya Dar sijui mtatoa sababu gani
 
mimi naona simba ndio mbovu zaidi, pamoja na kucheza pamoja muda mrefu hakuna kitu, mechi na ihefu walibebwa na refa, juzi na mtibwa hakuna walichocheza mpira wa hovyo hovyo, bora yanga hawajakaa pamoja muda mrefu tuwape muda

Kwa parfomance Ile kwenye uwanja ule lazima Kuna tatizo
 
Wee hata mpira hujui nadhani, yaan lile kandanda la Yanga unasema hamna kitu, duuh!!

Simba ndo hatuoni ule mpira wao wa msimu uliopita. Sijui wamepatwa na nini
 
Mbeya City alipigwa nne na ihefu juzi tu,leo anaisumbua Yanga mpaka wanapata goli kwa taabu sana tena kwa bahati.
 
we ndio mpumbavu kweli , hushangai simba ilivyosumbuliwa na timu iliyopanda daraja ihefu mpaka ikashinda kwa kubebwa na refa?
Akili huna wewe sasa mpira aliocheza simba siku ile unaweza kufananisha na makirikiri ya jana
 
Wee hata mpira hujui nadhani, yaan lile kandanda la Yanga unasema hamna kitu, duuh!!

Simba ndo hatuoni ule mpira wao wa msimu uliopita. Sijui wamepatwa na nini
We jamaa hauko serious kandanda lipi limepigwa na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…