Mimi Yanga ila kwa mpira ule na Mbeya City tuombe Neema za Mungu tu

Acha umbea,,,kila kitu Ni kwaneema tu siyo yanga
NYAMBAFU..!!
 
Ukweli humweka mtu huru [emoji847]
 
Huwa siangalii mechi yoyote ya yanga labda ikicheza na Simba ila baada ya kusikia makelele yao nikajaribu kuangalia mechi zao mbili hakuna chochote mpira wao ni uleule wa kubutua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…