...Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee.. Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba..
Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475
Daa wametuzalilisha mashabiki kwakweli
Msukule wa Mwalimu nguli na mbobevu wa Madrasa Wivu utakuua Mzee!!Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee.. Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba..
Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475
Kununua watanunua ila jezi sio nzuri muonekano, labda quality ya material hiyo sijaiona.Wewe Mkia acha wivu, Wananchi wako kwenye foleni kununua jezi tena kwa 35,000
Hizi jezi kilichoharibu ni ile ramani walioiweka likubwa kwa pembeni. Isingekuwa hiyo ramani, ingevutia sanaHakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee.. Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba..
Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475
We mkia jezi ipi mbovu?kanawe uso uiangalie vizuriMijezi yetu mibovu bhana tuone kama utaenda kununua wewe
Sitishii ila wakiendelea kuleta hivyo vituko hakika navaa za msimbazi mie kwani sipendi kupendeza auHizi jezi kilichoharibu ni ile ramani walioiweka likubwa kwa pembeni. Isingekuwa hiyo ramani, ingevutia sana
Kulinganisha hizi jezi za Yanga na za Simba hapo ndipo ulipoonesha ngozi yako halisi kuwa ni mtu wa namna gani.
Mwisho ni kwamba hakuna aliyelazimishwa kuvaa jezi ya timu gani bali vaa unachokipenda kuvaa. Sijui una mtishia nani unavyosema utavaa jezi ya Simba?
Tak.o moko mna shida sanaHamna jezi mule ubishi wetu ndomana wenzetu wanatuita manyani
Wenzetu, mwenzagu wanatumia wanawake..peleka ushoga wako sehemu nyingineHamna jezi mule ubishi wetu ndomana wenzetu wanatuita manyani