Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hili tambala la wapi tena
Yaani kwa mtu ambaye ni sound minded hawezi kuponda jezi za yanga tena kwa kulinganisha na jezi za simbaSitishii ila wakiendelea kuleta hivyo vituko hakika navaa za msimbazi mie kwani sipendi kupendeza au
Atafanya nini@moderator umeona matusi haya
Angalia jezi letu la kimataifa. Hakuna kama Mo.Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee.. Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba..
Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475
Original anayo Mzee Kilomoni au baba mdogo Kassim Dewji?Fake hiyo
Kwanza mchanganyiko wa rangi na jinsi zilivyo fifishwa na kukolezwa ukijumlisha na jinsi zilivyo pangiliwa umefanya umefanya rangi za jezi kuwa poa sana, pia muundo wa jezi yenyewe iko good. Sasa cjui kipi kipo kwenye hiyo jezi ya simba kinacho kufanya useme huwezi nunua jezi ya yanga labda ya simba wakati unadai wewe ni Dar young African die hard fanSasa wewe umependa nini ile ramani au?
Umemuona carlinho jinsi jezi ilivyo mkaa? Kama hujamuona basi itafute hiyo picha na kama umeona basi sina shaka utakuwa unajua jezi ipi inawakaa watu mwilini na sio kuwakaa2 pia kuwapendezeshaAngalia jezi za wenzetu zinavyokaa mwilini View attachment 1566592
Wewe umejawa na ushabiki wewe sio mwanamichezo ndomana hata kitu kivovu kazi yako kusifia mimi ni mwanamichezo siwezi kufagilia kibovuKwanza mchanganyiko wa rangi na jinsi zilivyo fifishwa na kukolezwa ukijumlisha na jinsi zilivyo pangiliwa umefanya umefanya rangi za jezi kuwa poa sana, pia muundo wa jezi yenyewe iko good. Sasa cjui kipi kipo kwenye hiyo jezi ya simba kinacho kufanya useme huwezi nunua jezi ya yanga labda ya simba wakati unadai wewe ni Dar young African die hard fan
Nimekuuliza ni kipi cha ziada kwenye jezi ya simba ambacho kinafanya jezi ya yanga ionekane sio bora/nzuriWewe umejawa na ushabiki wewe sio mwanamichezo ndomana hata kitu kivovu kazi yako kusifia mimi ni mwanamichezo siwezi kufagilia kibovu
Za wenzenu au za kwenu?Angalia jezi za wenzetu zinavyokaa mwilini View attachment 1566592