Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Sitishii ila wakiendelea kuleta hivyo vituko hakika navaa za msimbazi mie kwani sipendi kupendeza au
Yaani kwa mtu ambaye ni sound minded hawezi kuponda jezi za yanga tena kwa kulinganisha na jezi za simba
 
Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee.. Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba..
Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475
Angalia jezi letu la kimataifa. Hakuna kama Mo.
 
Attachments

  • IMG_20200911_172803.png
    IMG_20200911_172803.png
    472 KB · Views: 2
Sasa wewe umependa nini ile ramani au?
Kwanza mchanganyiko wa rangi na jinsi zilivyo fifishwa na kukolezwa ukijumlisha na jinsi zilivyo pangiliwa umefanya umefanya rangi za jezi kuwa poa sana, pia muundo wa jezi yenyewe iko good. Sasa cjui kipi kipo kwenye hiyo jezi ya simba kinacho kufanya useme huwezi nunua jezi ya yanga labda ya simba wakati unadai wewe ni Dar young African die hard fan
 
Wewe umejawa na ushabiki wewe sio mwanamichezo ndomana hata kitu kivovu kazi yako kusifia mimi ni mwanamichezo siwezi kufagilia kibovu
 
Back
Top Bottom