Jamani huu jama huwa simuelewi, huwa anajifanyisha au??
mianaiboa sana.utazani teja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani huu jama huwa simuelewi, huwa anajifanyisha au??
Jamani huu jama huwa simuelewi, huwa anajifanyisha au??
Jamani tangu jana namsikia George Marato amebadilisha swaga sasa hivi hasemi tena nikiripoti kutoka Musomaa........... Mimi George Maratoo wa I................T....................VVV. Sasa hivi namsikia kutoka Musoma, George Marato, ITV. Hahaha JF wakali mmeshambulia mpaka jamaa kabadili swaga kumbe alikuwa anajifa....:lol::lol::lol: