Pole kaka! hapa umechelewa sana!
yuko mshikaji wangu mwananthropolojia anakamatia hapa!
na wanapendana kinooma..
kila la kheri
Pole kaka! hapa umechelewa sana!
yuko mshikaji wangu mwananthropolojia anakamatia hapa!
na wanapendana kinooma..
Heshima kwa wote humu ndani!
Kwa kifupi jamani naomba kusema:
Huenda mimisa akawa na mpenzi wake humu(sifahamu), lakini bado nimeshindwa kujizuia kumwambia ukweli kuwa moyo wangu umemdondokea, na hv ninavyotembea sasa hv moyo sina umemdondokea yeye!
Plz mimisa naomba ufahamu hili na kunihurumia maana nina mapenzi ya dhati sana kwako!
Mpige chini yeyote uliye nae kwa sasa nichukue mimi!
Ahsante sana!
Nakala kwa Baba V, mwenyekiti wa cc!
mimisa umedondokewa
Kila kona mapendo
sasa nifanyeje, na huku nimekuzimikia vibayaunapenda kua kidumu ee?
Hamjambo wajameni....
acha tu ndg yangu! mapenzi jamani yanatutesa sana!mimisa umedondokewa