Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
yeah, safi sana! kwa hiyo umejifunza kutulia na ndoa yako, sio? nataka nikupe nafasi nyingine tena, au unasemaje maana namwona huyu sijui TheDealer anadondoshadondosha mioyo yake kwako!
hapana,nimeamua kuwa single lady.....
moyo unakufa, lakini bado nashindwa kujizuia kusema ukweli! na wewe moyo wangu umekudondokea!
huyu TheDealer naona anataka kuleta majanga nyumbani kwangu ngoja uvunjike kabisa then nitajaribu kuunganisha maana naona bado anatapatapa sijajua atafia wapi.
UNDENIABLE thats why nimeamua kuwa single lady!!!Ok, ila rekebisha tabia, watakuacha wengi! otherwise ubadili jinsia uwe mwanaume, halafu ubadili dini uwe mwislamu, there you can fit!
kuna dalili za kufia mikononi mwa vidume wenzie maana anavyokurupukia wake za watu!!!!!!!
huku utakuwa umedondokea pabaya maana utavunjika kabisa usipoangalia ila kwa matibabu utapata
kumbe una haka katabia kakutoa tiba kama sipo?
TheDealer nilimkuta anatapataba yupo ICU kwa sasa,mi na Lady doctor tunafanyia reseach tiba haijapatikanandiyo ueleze ni tiba za aina gani..
kuna tiba nyingine ngumu kweli hasa kumtibu huyu TheDealer..
asee..sina matumizi na kidumu kwa sasa..hata ndugu yangu Kaizer na best yangu Mentor wanajua..ukiachilia mbali my diarest Rich woman
Mpenzi nimekumic sana...