mimisa mumiiiiiii moyo wangu umekudondokea!

ninaye ndiyo!!!! Na ni raisi wenu mtarajiwa wa 2015
hehehehehe kumbe ni prezidaaaaaa yayayayaya usimwambie basi kuwa moyo wangu ulikudondokea! plz nakuomba jamani, asije akanisweka rumande forever! aisee nimekosa mm jamani, yaaani nimethubutu kumdondoleshea first lady moyo!?
 
ndiyo ukome, si unajua ukiudondosha moyo kwenye moto mkali inakuwaje???
 
na moyo ukidondoka tunaita heart broken syndrome[in to pieces],matokeo yake ndo hayo kupenda penda ovyo,kutamani kuwa kidumu,kufuata walioachika n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…