Mina Ally wa Clouds Fm, nataka kusema nawe

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Sijawahi kuwa msikilizaji wa vipindi vya radio, naweza sema kwa bahati nzuri juzi nilikua kwnye mgahawa mmoja,Mara Radioni niliskia sauti iliyonifanya niweke tention kwnye Radio.. Baadae ulitaja jina lako nadhani ulikua ukimpatia mtu habari ya ushindi wa Techno.
Hakika nilijikuta nakufuatilia from there, na kukusifia kila kona, Umebarikiwa sauti Mina(Sijui ndio jina lako linatajwa hivyo , komradhi kama nimekosea.)
Una cheko la aina yake,sasa leo nimeweza kukujua Muonekano wako na Hapa najua nitapata picha Nyingi ,ila ujumbe wangu ukufikie , una talent ya utangazaji. UNAJUA.

Matatizo yanayonikumba sasa ninkugombana na Wife , maana kashachoka na mm kukusifia Sauti yako. [emoji4] .
 
Huu uzi bila picha ni sawa na kuingalia barcelona bila messi haunogi
Ndio maana nimeemba mwenye picha za huyu Binti basi leo aifanye siku yangu walau kwa kuniweka Picha Humu .
Ni matumani yangu Muonekano wake utakua wa kijanja kama ilivyo sauti yake .
 
kaangalie picha zake insta anatumia meena_ally
 
Huyo asiye Na ushungi ndiye Minaa Ally
Madam%20Zena%2020171217_172505.jpg
 
Ndio maana nimeemba mwenye picha za huyu Binti basi leo aifanye siku yangu walau kwa kuniweka Picha Humu .
Ni matumani yangu Muonekano wake utakua wa kijanja kama ilivyo sauti yake .
Huyo hapo mkuu!!!
Screenshot_2018-03-19-09-38-09.jpg
 
mbona kama picha na nilivyokua nikimfikiria haviendan
 
Sijawahi kuwa msikilizaji wa vipindi vya radio, naweza sema kwa bahati nzuri juzi nilikua kwnye mgahawa mmoja,Mara Radioni niliskia sauti iliyonifanya niweke tention kwnye Radio.. Baadae ulitaja jina lako nadhani ulikua ukimpatia mtu habari ya ushindi wa Techno.
Hakika nilijikuta nakufuatilia from there, na kukusifia kila kona, Umebarikiwa sauti Mina(Sijui ndio jina lako linatajwa hivyo , komradhi kama nimekosea.)
Una cheko la aina yake,sasa leo nimeweza kukujua Muonekano wako na Hapa najua nitapata picha Nyingi ,ila ujumbe wangu ukufikie , una talent ya utangazaji. UNAJUA.

Matatizo yanayonikumba sasa ninkugombana na Wife , maana kashachoka na mm kukusifia Sauti yako. [emoji4] .

Kwa uzoefu wangu wa ' Wastani ' tu ni kwamba 99% ya Wanawake wenye Sauti tamu kama siyo nzuri huwa wana ' Mbunye Shubiri ' sana.
 
Back
Top Bottom