Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Sijawahi kuwa msikilizaji wa vipindi vya radio, naweza sema kwa bahati nzuri juzi nilikua kwnye mgahawa mmoja,Mara Radioni niliskia sauti iliyonifanya niweke tention kwnye Radio.. Baadae ulitaja jina lako nadhani ulikua ukimpatia mtu habari ya ushindi wa Techno.
Hakika nilijikuta nakufuatilia from there, na kukusifia kila kona, Umebarikiwa sauti Mina(Sijui ndio jina lako linatajwa hivyo , komradhi kama nimekosea.)
Una cheko la aina yake,sasa leo nimeweza kukujua Muonekano wako na Hapa najua nitapata picha Nyingi ,ila ujumbe wangu ukufikie , una talent ya utangazaji. UNAJUA.
Matatizo yanayonikumba sasa ninkugombana na Wife , maana kashachoka na mm kukusifia Sauti yako. [emoji4] .