Mina Ally wa Clouds Fm, nataka kusema nawe

Mina Ally wa Clouds Fm, nataka kusema nawe

Watanzania acheni roho mbaya that girl is beautiful.. Nimepata bahati ya kuonana nae and very humble..
 
Sijawahi kuwa msikilizaji wa vipindi vya radio, naweza sema kwa bahati nzuri juzi nilikua kwnye mgahawa mmoja,Mara Radioni niliskia sauti iliyonifanya niweke tention kwnye Radio.. Baadae ulitaja jina lako nadhani ulikua ukimpatia mtu habari ya ushindi wa Techno.
Hakika nilijikuta nakufuatilia from there, na kukusifia kila kona, Umebarikiwa sauti Mina(Sijui ndio jina lako linatajwa hivyo , komradhi kama nimekosea.)
Una cheko la aina yake,sasa leo nimeweza kukujua Muonekano wako na Hapa najua nitapata picha Nyingi ,ila ujumbe wangu ukufikie , una talent ya utangazaji. UNAJUA.

Matatizo yanayonikumba sasa ninkugombana na Wife , maana kashachoka na mm kukusifia Sauti yako. [emoji4] .
huy malay.a aliyekuja kuharibu kipindi cha amplifaya.kweli ukipenda chongo huita kengeza.
 
Minh Aly ana talent aisee ,Millard keshafunikwa kwenye amplifier kusema kweli
 
Watanzania acheni roho mbaya that girl is beautiful.. Nimepata bahati ya kuonana nae and very humble..
Utawaweza wabongo wao wenyewe utakuta wana sura chachu utadhani wanakunywa juisi ya limao.
 
Back
Top Bottom