nimetoka kujikumbusha enzi zetu ,wakati muziki ulipokuwa muziki kweli, kwa kusikiliza hizo nyimbo tatu za mwamuziki sahlomon. huyu jamaa alikuwa anajua bwana, tofauti na muonekano wake na alituhangaisha sana miaka zile. hizo nyimbo naweza kuzisikiliza hata mara 20 kwa siku na zisinichoshe!
sijui yuko wako siku hizi huyu?!!!
sijui yuko wako siku hizi huyu?!!!