Minah Ali sasa hivi yupo Bongo Star Search, Clouds alihama?

Minah Ali sasa hivi yupo Bongo Star Search, Clouds alihama?

Huyu alikuwa anatangaza na Millad Ayo kule Clouds radio kipindi cha amplifier kwani alihama? Nashangaa namuona huku Star search yupo na kina Salama Jabir.
Bongo star search ni program au project sio kituo cha Tv!
Hapo anafanya kazi ya pembeni baada ya kazi kuu
 
Mina yupo kwenye kipindi flani mida ya jioni,bongo star search ni kama part time tu.
 
Huyo demu ana makelele halafu anapayuka kama yupo mwenyewe sijui ilikuwaje akawa mtangazaji.
 
Back
Top Bottom