Mapambano kag
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 117
- 26
Najivunia kuwa miongön mwa tuliopitia hapo na kufanikisha malengo yangu,shukran zmendee mkuu chungu,madam asha,nshanganiye,baba ludo nk, nakupenda minaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najivunia kuwa miongön mwa tuliopitia hapo na kufanikisha malengo yangu,shukran zmendee mkuu chungu,madam asha,nshanganiye,baba ludo nk, nakupenda minaki
Ni shule nzuri kwa enzi zile kwa sasa ina hali mbaya nilisoma hapo kwa six years form one to six chini ya uongozi wa mzee mjale nikiishi mirambo wacha tuishukuru shule yetu minaki
Nilimaliza hapo Advance miaka 9 iliyopita kipindi cha Marehemu Mjale wakati nakaa Lumumba!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ni shule nzuri kwa enzi zile kwa sasa ina hali mbaya nilisoma hapo kwa six years form one to six chini ya uongozi wa mzee mjale nikiishi mirambo wacha tuishukuru shule yetu minaki
Mkuu ulikuwepo wakati wa sakata la wanafunzi wa kiislamu kulishwa kitimoto?Nilimaliza hapo Advance miaka 9 iliyopita kipindi cha Marehemu Mjale wakati nakaa Lumumba!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu ulikuwepo wakati wa sakata la wanafunzi wa kiislamu kulishwa kitimoto?
Safi sana hilo mzee sisi enzi zetu maji yakikatika tulikuwa tunakwenda kule dem pia tumebeba sana kuni
Minaki ni shule ya kujivunia, sisi wengine tulipita kabla wengi wenu humu hamjazaliwa!! Niliishi St,Simon's enzi za Roe na marehemu balozi Edward Mhina!!!