Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
sasa ikawaje kwa huyo mmarekani baada ya kuzaa na mke wa mwl mwenzake? Huyo mtoto aliendanae amerika?
Mkuu hili ilikuwa balaa sana.
Second master alikuwa mkali kama nyuki, ila jamaa akampiga bao.
By the time naondoka Minaki, may, 1988, Mmarekani alikuwa ameshatimua zake na watoto (mapacha) wakawa wananyolewa nywele na hawatolwei nje! Sijui huo mwila ulikuwaje, labda waliokuwapo baada ya 1988 watujuze!