Minaki high school

pamoja na shida ya maji yenye fangasi lakini tuliishi kwa furaha kama familia.
 
Ni shule nzuri kwa enzi zile kwa sasa ina hali mbaya nilisoma hapo kwa six years form one to six chini ya uongozi wa mzee mjale nikiishi mirambo wacha tuishukuru shule yetu minaki
 
Nilimaliza hapo Advance miaka 9 iliyopita kipindi cha Marehemu Mjale wakati nakaa Lumumba!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mungu ambarik chungu kwa uongozi mzuri pale bila chungu kwa miaka ya sasa minaki haija kamilika..wanatoa elimu bora pamija na ratba ya chakula ni nzuri sana na wanafunzi wanaishi kwa amani na upendo SHULE YANGU MINAKI SHULE YA TANZANIA IMEELIMISHA WENGI....
 
Yeah, mjale, alikuwa akukuita, unakula mbata za kutosha. Da minaki, I'm proud kupita pale
 
Ni shule nzuri kwa enzi zile kwa sasa ina hali mbaya nilisoma hapo kwa six years form one to six chini ya uongozi wa mzee mjale nikiishi mirambo wacha tuishukuru shule yetu minaki

mkuu kwa sasa minaki ya chungu ni ya ukwel sana yaan ile shida ya maj imepungua sana kwan kila bwen limejengewa tank kubwa la maj na maj huletwa mara yaishapo chakula cha ukwel ,walm wanajtma sana kwa ufup mambo yameboreshwa sana
 
Nilimaliza hapo Advance miaka 9 iliyopita kipindi cha Marehemu Mjale wakati nakaa Lumumba!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

lumumba bwn ambalo nmekaa humo kwa miaka miwili n bwn ambalo nmeacha linaheshmka sana
 
Ni shule nzuri kwa enzi zile kwa sasa ina hali mbaya nilisoma hapo kwa six years form one to six chini ya uongozi wa mzee mjale nikiishi mirambo wacha tuishukuru shule yetu minaki

Mirambo kudrop ni fasta sana,
Unamjua mkumbo?
 
Mimi nami nimepita Minako, enzi zile KAMATA inakwenda kule. Nakumbuka sana jinsi KAMATA ilivyokuwa inapata shida ya kupita pale Kinyanyiko! Nakumbuka shida ya Maji.

Namkumbuka Headmaster Mtasigwa, Second master Matu ( na diasater za mkewe alitekuwa mwalimu), na walimu wengine. Namkumbuka Mwalimu Sawaya, ambaye wakati huo walikuwa na TOYOTA STOUT mpya kabisa.

Kiboko zaidi ni yule mmarekani aliyezaa na mke wa mwalimu!

Wakati huo, lami ilikuwa haijafika hata Pugu secondary, yaani magari mengi yalikuwa yanaishia mwisho wa lami!

Hii ilikuwa mwaka 1986-1988!
 
Nilimaliza hapo Advance miaka 9 iliyopita kipindi cha Marehemu Mjale wakati nakaa Lumumba!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu ulikuwepo wakati wa sakata la wanafunzi wa kiislamu kulishwa kitimoto?
 
Safi sana hilo mzee sisi enzi zetu maji yakikatika tulikuwa tunakwenda kule dem pia tumebeba sana kuni
 
Minaki ni shule ya kujivunia, sisi wengine tulipita kabla wengi wenu humu hamjazaliwa!! Niliishi St,Simon's enzi za Roe na marehemu balozi Edward Mhina!!!
 
Minaki ni shule ya kujivunia, sisi wengine tulipita kabla wengi wenu humu hamjazaliwa!! Niliishi St,Simon's enzi za Roe na marehemu balozi Edward Mhina!!!

Nakusalute mkuu!:tape:
Mimi nimepita enzi za KAMATA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…