Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
sasa ikawaje kwa huyo mmarekani baada ya kuzaa na mke wa mwl mwenzake? Huyo mtoto aliendanae amerika?
Ivi Mwalimu Sogoi bado yupo?Ngatila Je?Kitambo sana!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Yeah, mjale, alikuwa akukuita, unakula mbata za kutosha. Da minaki, I'm proud kupita pale
Waislam waligoma wakidai wamelishwa kitimoto wakahamishwa.. Nani anamkumbuka hussein kapuya?
Hellow! Form 6 leaver mwk huu ,lete tor za minak ,nimemaliza mwk huu Egm ,vp wadau Alex wa Egm ameenda chuo gan?
Najivunia kuwa miongön mwa tuliopitia hapo na kufanikisha malengo yangu,shukran zmendee mkuu chungu,madam asha,nshanganiye,baba ludo nk, nakupenda minaki
Kumbe nawe ulikuwa upo enzi hizo.
acha kabisa ndugu nalikumbuka sana hili tukiositasahau mwaka 2004 niko form six tunafunga shule by that tym tuko parade mwanafunz wa form five comb pgm alijitundika darasan sababu no one knows wakati tunafungua shule kama siku tatu hv our lovely principal paul mjale anafariki kwa stroke it was a sadiest moment in my life at minaki.
acha kabisa ndugu nalikumbuka sana hili tukio
[h=5]R.I.P VALENTINE NDELEMA (EX-MINAKI'06 and among the PGM class excellent morning speech volunters)[/h]MIMI PCM BOY 2004-2006 MKAZI WA MAKONGORO ...
acha tu mkuu lazima nitarudi pale kutoa shukrani zangu kwa namna yeyote...dah bweni la kishua nakumbuka chumba cha chairman wa bweni by tht time tupo six 2005,wameliwa sana kuku wa mzee kinyogoli kwa hyo geto. ts awesome memories man.