Mhache
JF-Expert Member
- Jun 20, 2008
- 345
- 25
Minara ya simu ina faida na hasara (madhara) kwa maisha ya viumbe hai akiwemo binadamu.
Mimi ninajua faida zake. Faida mojawapo ni kuwezesha mawasiliano baina y apande mbili au zaidi.
Pili, wanaotoa maeneo yao kwa ajili ya makampuni ya simu kuweka minara yao wanapata faida kama kulipwa kila mwezi na makampuni ya simu.
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba makampuni hayo ya simu hulipa kati ya shilingi laki tatu hadi tano kwa mwezi. Kwa hali yetu huo ni mshahara wa mtu mkubwa sana anayeishi maisha ya kifahari.
Swali: Zaidi ya faida hizo nilizozitaja hapo juu faida nyingine ni zipi?
Nimepata kampuni moja ya simu inataka kuweka mtambo wao wa simu kwenye eneo lao.
Sijakubaliana nao. Ninasikia kwamba minara hiyo ina madhara. Je madhara hayo ni yapi? Na je nikubali hiyo kampuni inilipe kiasi hicho kizuri cha fedha kiasi cha laki nne kwa mwezi na kuwapa eneo lililo karibu sana na nyumba ninayoishi ili waweke mtambo wao.