Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeamua kuuamsha uzi
Yeaah ni kweli kabisa hivyo siwezi kushangaa pindi ikikosa wachangiaji. Btw ningependa kupokea maswali zaidi maana nina vitu vingi sijavizungumzia ili nisiwachoshe watu
Salute mate.. Karibu Tushee mawazo tuliyonayo pamoja.
Natumaini una vingi vya kunifundisha
Wanacheza na mentality yako nimeelezea hii kwenye mada yangu ya nyuma kabla ya hii. Nitakuwekea linkHellow Da’vinci naomba kuuliza je hii dhima nzima uliyoizungumzia humu ndo hata na watumishi wa dini wanaitumia anamwambia mtu kiwete ww simamaa anza kutembea au tupa magongoo tembeaa ww amin tuu unaweza??