Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi

Nilitaka wewe ueleze kile ulichoelewa juu ya mambo haya. Wewe binafsi ulielewa nini?
 
Related Post...

Kweye kuuconvice mwili kua unaweza kutembea wakati mtu huyo ameparalaizi inakua hivi.

Kama mtu kapalalaizi akiwa anatibiwa daktari nazipangilia upya neva zilizoharibika kwa madawa na upasuaji..hapo Cell zitauponyesa mwili huo uliopalalaizi mwili huo, hapo Cell zinakua zimeprogramiwa/Programmed na Daktar kujirudisha kama ilivyokua mwanzo ili mtu apone..kitendo hicho kinaitwa Cellular regeneration.

Sasa kila kitu kinaanza rohoni as a power house ya mwili...Mara nyingi tunavyotibiwa hospital tunatibiwa kutokea nje (mwilini) sio kutokea ndani ya Roho. So hivyo basi ukitaka kujitibu kupitia rohoni kama hivyo mtu aliyeparalaizi kujiconvice kwamba anaweza kutembea. Anapojikonvisi hivo anaruhusu roho yake kuachilia nguvu zake za kioho (Psychic Power) kuja kwenye mwili wake.

Zinapoingia mwilini mwake in Extraordinary way mtu anajikuta ameweza kutembea. So technically mtu anakua hajatibiwa kwa cellular regeneration bali zile nguvu zake kiroho alizoziachia kuingia kwenye mwili wake.

Magufuli anafanya hiki kitu either kwa kujua au bila kujua..Maana anajua watu wanamchina ila yeye anataka awatoe hofu. It's good but kinachotendeka ndani its beyond kuwatoa hofu. Technically anawafanya watu kuconvice miili yao kwamba hawana mchina Hence mind inakua postive. You know Power of postive thought. Thought shape Reality

Be careful with what you think because Thought shape Reality. You're what you think and you will get what you think. What you seek is what you will get. Be postive no matter how physical world treat you. You're only weak outside/physically. But inside you're so powerful spiritually. Draw out your spiritual strength to face the physical world.

You're inner strength start with postive thought.

Trust your Inner you!!
 
What a thread - In order to reply it, You have to think in and out. All in all you have made marvelous work.

I appreciate that Da'Vinci
I'm looking forward to learn more and more from you.
Thanks The Man of Wisdom.
 
What a thread - In order to reply it, You have to think in and out. All in all you have made marvelous work.
Yeaah ni kweli kabisa hivyo siwezi kushangaa pindi ikikosa wachangiaji. Btw ningependa kupokea maswali zaidi maana nina vitu vingi sijavizungumzia ili nisiwachoshe watu
I appreciate that Da'Vinci
I'm looking forward to learn more and more from you.
Thanks The Man of Wisdom.
Salute mate.. Karibu Tushee mawazo tuliyonayo pamoja.
Natumaini una vingi vya kunifundisha
 
I need more time to digest it mate.
After then i will be back with some questions?
 
Mkuu nashukuru sana.yaani unaweza ukanifundisha ama ukawa mentor wangu ya brain yangu. Mana Kuna vitu nafanya afu huwa najisomea hivi vitu. So naona kwako Kuna mwanga pia naupata..
Kiukweli huwa Kuna mwingiliano wa sayansi Kama umeisoma,dini,uchawi mkuu.
Yanai ivi vitu huwa Kuna sehemu vinaingiliana.
Iyo power of Subconscious mind huwa najisomea kitabu Cha Napoleon Hill.
Pia power of positive thinking,power of now,powerof attitude, as man thinketh so he is,
Kwenye maandiko wanadai kuwa makini na mawazo yako Mana maisha yangu yanachongwa kulingana na unavyowaza.
Pia unapoumwa unaufikiria ugonjwa Ina Mana ndo unaupa nguvu zaidi,Sasa haitakiwi kuuwaza,
Pia huwa smt naenda kwa waganga wa kienyeji Ila ni kukusanya elimu.
Kuna bibi mmoja aliniambiaga mjukuu wangu ukiwa unaenda kufanya Jambo kuwa na akili moja tu kuwa utafanikiwa.
Pia Kuna Siri haipo kwa biblia kuwa nu namna gani tunatakiwa tuombe.

Kuna channel huwa naifutilia YouTube ya your universe,power of attraction
 
Kuna muda unaambiwa kuwa Kama unahitaji kitu Kuna namna ya kuifanya subconscious mind ikikubali kuwa Tayari unacho. So baadaye universe Ina create inakileta.
Life ni 95% mindset afu 5% ni strategy Ila sie tunatumia 95% kwa strategy afu 5%kwa mindset
 
Mkuu nashukuru sana.yaani unaweza ukanifundisha ama ukawa mentor wangu ya brain yangu.
Haina shida kabisa Kiongozi wewe tu
Mana Kuna vitu nafanya afu huwa najisomea hivi vitu. So naona kwako Kuna mwanga pia naupata..
Kiukweli huwa Kuna mwingiliano wa sayansi Kama umeisoma,dini,uchawi mkuu.
Yanai ivi vitu huwa Kuna sehemu vinaingiliana.
Yeap vinaingiliana sana kwakweli sema tu nakua mvivu kuandika kuna mengi sana nawish nishee nanyi. Ila uhai ukiebdelea kuwepo anytime tutashea but trust me Physics na Uchawi/imani na Psychology vinaingiliana sana sana.
Yeaaah ni Kweli mkuu.. Binafsi I've mastered the ability of manipulating the Probability and Luck. Inanisaidia sana
 
Nashukuru ngoja nipitie hizi nyuzi Ila zingine nishazipitia.yaani haya Mambo sichoki kuzisoma hata Kama una PDF ya 1000 pages nipatie nile madini mie sio mvivu wa kusoma kabisa Tena kwa ishu ya maarifa napenda Sana Ila sio udaku.
Thank you kushare nasi kwa unachokiona kina faida mkuu.
 
Thread yako ni nzuri,ulichokiandika ni sahihi kabisa.Ila hapo ulipoanza kuandika habari za Mungu,hata wewe naona umechezewa na hiyo convincing illusion.
Hata Mungu naye ametengenezwa
 
Thread yako ni nzuri,ulichokiandika ni sahihi kabisa.Ila hapo ulipoanza kuandika habari za Mungu,hata wewe naona umechezewa na hiyo convincing illusion.
Hata Mungu naye ametengenezwa
Convice me how God is illusion
 
Nashukuru ngoja nipitie hizi nyuzi Ila zingine nishazipitia.yaani haya Mambo sichoki kuzisoma hata Kama una PDF ya 1000 pages nipatie nile madini mie sio mvivu wa kusoma kabisa Tena kwa ishu ya maarifa napenda Sana Ila sio udaku.
Sijaelewa.. nikupandishie niliyoandika mimi au yoyote tu??
Thank you kushare nasi kwa unachokiona kina faida mkuu.
Thanks too mate.. usiache kushea nasi pia ulichonacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…