Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio zenu hizo lakini Darlingtone?
Thanks GG.
Mawazo ya wahusika yote yana uhalisia kabisa.
Nimependa ya mtu na mkewe hao wa juu kwani ni kweli kabisa ukiwa na mamaa na akapita mrembo mkali zaidi basi wifey/gf ata-note mapema kabla yako...
Pia ya mama aliyewaza 'I used to look like this too' ni kali, anakumbukia enzi zake akiwa anadai...