Mind you, Nairobi is just 696 km sq while Dar is a vast city with 1,590 km sq

Kuna maswali nita muuliza, Yule amefika Nairobi atajibu bila wasi wasi.,
Mbona na mimi nimesema nimeshafika Nai zaidi ya mara 4 ila huniulizi maswali yako nimewatch mpaka games za koth bilo. Wewe mtu akiisifia Nai ndiyo una amini amefika! Hahaaa.. msee umenibamba! Acheni pang'ang'a ebu tajeni ukubwa wa Nai ambao utawapendeza
 
kabla ya hizi batle nilikuwa naogopasana mutu ya kenya sasa, nipo naweza bishana nao. Ni wa kawaida tu kumbe, hata makzini walikuwa na upper hand and they are trully comanding authority taking advanatge of our insecurity
 
Ni koth biro., umepewa data, yani map ya metropolitan, haujui kuisoma?., kisha unaeza Google "Nairobi Metropolitan population", ujisomee mwenyewe, you will even see report ya world bank, 32,000 square kilometres!., most Tanzanians huwa hamuamini mengi kuhusu Kenya hadi mudhibitishe.,
 
Yeah ni koth biro.. so Nai ni 32,000 sq km!
 
Now this is getting sad, so they think a city huisha after hizo kms. Nairobi is developed all the way to Thika, 50kms away from the CBD, and in another county, To other places kama limuru etc. People who work in the city reside in those places. A place kama Ruiru iko Kiambu but many people wamejenga huko and work in the city. You should understand what a metropolis is mate
 
If that is the case ata Morogoro ni Dar! Then this makes Dar area amount to more than 50,000 sq kms
 
Yeah ni koth biro.. so Nai ni 32,000 sq km!
Nairobi Metropolitan region 32,000 sq km.., if you visit now you cant tell mpaka ya Nairobi na Kiambu county iko wapi., it's developed all the way., Kiambu, kajiado, machakos., even the great Two Rivers Mall is in Kiambu county, nanyi mnajua iko Nairobi na inajulikana is in Nairobi, why? iko Nai metropolitan.,
 
If that is the case ata Morogoro ni Dar! Then this makes Dar area amount to more than 50,000 sq kms
Maybe if it has grown all the way and is swallowing Morogoro., the way Nairobi swallowed Thika and Kiambu, and it is gobbling Machakos and Kajiado.,
 
Maybe if it has grown all the way and is swallowing Morogoro., the way Nairobi swallowed Thika and Kiambu, and it is gobbling Machakos and Kajiado.,
Huu mtazamo wa ukubwa wa mji nauona leo! In first world countries kuna miji ime anzishwa since 1800 na watu wana fanya kazi miji tofauti ila sijaona waki jiongeza kama Nai.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Unaniabisha kijana wa nani. Sio kujiongeza jaribu kufanya karisechi kuhusu miji metropolitan, zipo dunia nzima.
 
If that is the case ata Morogoro ni Dar! Then this makes Dar area amount to more than 50,000 sq kms
Okay then. You should know Nairobi does not end at the specified area. Hakuna fence. That land was subdivided hivyo time ya colonisation. And many posh areas are out of Nairobi county but pay their taxes to other county government.
 
New York City comprises 5 boroughs sitting where the Hudson River meets the Atlantic Ocean. At its core is Manhattan, a densely populated borough that’s among the world’s major commercial, financial and cultural centers. Its iconic sites include skyscrapers such as the Empire State Building and sprawling Central Park. Broadway theater is staged in neon-lit Times Square.
Land area: 789 km²
So you gonna say Dar Es Salaam is more developed than NYC coz of land area ya Dar ni twice ya NYC???
 
Unaniabisha kijana wa nani. Sio kujiongeza jaribu kufanya karisechi kuhusu miji metropolitan, zipo dunia nzima.
Okay then. You should know Nairobi does not end at the specified area. Hakuna fence. That land was subdivided hivyo time ya colonisation. And many posh areas are out of Nairobi county but pay their taxes to other county government.
With the introduction of SGR eventually the whole Kenya will be Nairobi Metropolitan coz hamna fence!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…