thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Mbona na mimi nimesema nimeshafika Nai zaidi ya mara 4 ila huniulizi maswali yako nimewatch mpaka games za koth bilo. Wewe mtu akiisifia Nai ndiyo una amini amefika! Hahaaa.. msee umenibamba! Acheni pang'ang'a ebu tajeni ukubwa wa Nai ambao utawapendezaKuna maswali nita muuliza, Yule amefika Nairobi atajibu bila wasi wasi.,