Mind you, Nairobi is just 696 km sq while Dar is a vast city with 1,590 km sq

Hivi nikiku uliza umri wako utasema niongezee na ya wadogo zako! Au nikusaidie jumlisha na vitongoji unavyo ona vitasaidia then nitajie namba

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Eti vitongoji? Hahaha! That was barren land now its filled with Industrial parks, residential estates and new shopping centres. Kenyans don't sleep.
 
More developed kwa lipi hasa? Kwanza umewahi kufika Nairobi? Nilipofika Nai kwa mara ya kwanza nikajua tumeshukia njiani nikawa nauliza Dereva wa cab, how long will it take us to reach Nairobi? akasema, we r already in Nairobi!
Muongo, haujatoka nje mwa kijijini kwenyu. Any danganyikan mwenye amefika Nairobi I will know when they give their views, not from hearsay, internet or biased views, wewe muongo, too obvious!.,
 
Later on, I will scan my passport and attach the photo.
 
ndugu Nairobi naijua vizuri inawezekana kuliko wengi wanaochangia humu, kusema kweli ulinganisha CBD ya Nairobi na Dar kwa kweli ziko tofauti kabisa, ya Nairobi ni world class wakati hapa kwetu kila mahali kumejaa wamachinga tu, brabara nyembamba, majengo yamechoka halafu ni padogo ukilinganisha na Nairobi na mengine mengi, hapo hujazungumzia barabara za Nairobi zinafanana na majiji yaliyoendelea tofauti na hapa Dar
Nilipofika Nairobi kwa mara ya kwanza mwaka 1998 kilichonishangaza ni upana wa barabara na kuacha reserve kubwa katikati, pia mji umepangwa vizuri zaidi kuliko Dar es Salaam, yaani kuanzia Athi river unaanza kuaonja harufu ya mji tofauti na hapa kwetu yaani mpaka Ubungo bado unapita kwenye vijumba vya hovyo
 
Eti vitongoji? Hahaha! That was barren land now its filled with Industrial parks, residential estates and new shopping centres. Kenyans don't sleep.
Tanzanians wanajaribu kujiweka mahali hawako!., they think Nairobi is equal to Dodoma or Arusha., or is same level as Dar., Dar is ranked bigger by population., of which Nai Metropolis ikirankiwa we beat them, data used in internet sources ni za 2009 stating Nairobi population is 3 Million., Tanzania should accept who and what they are as at now, they should stop forcing.
 
Hebu mtupe na ukubwa wa uchumi kati ya jiji kubwa la Dar nna hicho kijiji cha nairobi,waswahili walisema ukubwa wa pua si wingi wa makamasi! Na life standard pia msisahau.
 
Later on, I will scan my passport and attach the photo.
Do it right away, wacha kutafuta ya mwenzako!., ama wewe ni wale wa Sirare/Isbania border?., weka picha na sema sehemu ulio tembelea., uliingilia upande ipi wa Nairobi?., ukora wacha.,
 
Hivi nikiku uliza umri wako utasema niongezee na ya wadogo zako! Au nikusaidie jumlisha na vitongoji unavyo ona vitasaidia then nitajie namba

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Unadhani Nairobi ni ya enzi zile ukisomaga kule Kanungaga High School! 😎
map-of-the-nairobi-metropolitan-region-un-habitat-2010-168.jpg
 
Muongo, haujatoka nje mwa kijijini kwenyu. Any danganyikan mwenye amefika Nairobi I will know when they give their views, not from hearsay, internet or biased views, wewe muongo, too obvious!.,
hebu kuwa mkweli bwana hayo unayosema sio kweli, yaani hata mji wa Kisii haupo hivyo unavyosema
 
ndugu Nairobi naijua vizuri inawezekana kuliko wengi wanaochangia humu, kusema kweli ulinganisha CBD ya Nairobi na Dar kwa kweli ziko tofauti kabisa, ya Nairobi ni world class wakati hapa kwetu kila mahali kumejaa wamachinga tu, brabara nyembamba, majengo yamechoka halafu ni padogo ukilinganisha na Nairobi na mengine mengi, hapo hujazungumzia barabara za Nairobi zinafanana na majiji yaliyoendelea tofauti na hapa Dar
Nilipofika Nairobi kwa mara ya kwanza mwaka 1998 kilichonishangaza ni upana wa barabara na kuacha reserve kubwa katikati, pia mji umepangwa vizuri zaidi kuliko Dar es Salaam, yaani kuanzia Athi river unaanza kuaonja harufu ya mji tofauti na hapa kwetu yaani mpaka Ubungo bado unapita kwenye vijumba vya hovyo
Hapa umenena., I was wondering, na kwa sasa Athi River na Kitengela ni mji kivyake, along the way well organized developed estates., huyu jamaa alikua anadanganya wazi wazi., Watanzania wenye wamefika huwa wanasema pako sawa lakini hatuja waacha mbali, Dar inakuja kwa kasi., hawana estates kama za Nairobi kimpangilio.,
 
Just for your information, Nairobi is concentrated on an area of just 696 km square, just like one district among five districts of Dar Es Salaam. The total area of Nairobi is as big as Kinondoni district having a total area of 531 km² . .
Kampala, makes a fraction of Dar Es Salaam with the total area of 189 km². That means, Dar is nine times larger than Kampala, and three times lager than Nairobi.
Small as it is, Nairobi is a city with more than 3M inhabitant. This gives a picture that majority of people lives in slums or houses with less than 100 meter square piece of land, while in Dar the average are for a house is not less than 500 meter square piece of land.
Together with that, large area of Nairobi is reserved for wild animal park, making the total space for human being even smaller!
Even Kigali at 730 km² is 'by far' lager than Nairobi...

Next time, dont compare the vast city of Dar with a small village like Nairobi!
Nairobi should rather be compared with other smaller metropolitan like Kigali, or Kampala but not Dar Es Salaam.
Acha urongo!
By the way, size ya mji sio issue. Govt ikitaka si inaweza ikapanua mipaka tu. Issue ni infrsstructure.

Je, wajua ya kwamba Dar ni mara mbili ya New York kwa ukubwa?

Na je, jinsi umesema hapo juu, kweli unasadiki ya kwamba Kigali ni kubwa kushinda Nairobi.....au hata Kampala?

Issue hapo ni mipaka iliowekwa na serikali husika kulingana na mipango yao ya miji hayo.
 
Hapa umenena., I was wondering, na kwa sasa Athi River na Kitengela ni mji kivyake, along the way well organized developed estates., huyu jamaa alikua anadanganya wazi wazi., Watanzania wenye wamefika huwa wanasema pako sawa lakini hatuja waacha mbali, Dar inakuja kwa kasi., hawana estates kama za Nairobi kimpangilio.,

umeona ee? tatizo tuna viongozi washamba wanapenda kubaki madaraka kwa ujinga wa Watanzania, ndio maana hawawezi kusimamia upangaji wa Dar ili iwe modern zaidi
mfano tungejenga Kigamboni City Dar ingepanda value yake lakini tumeendeleza upuuzi uleule wa Kiswahili. PATHETIC
 
By the way, size ya mji sio issue. Govt ikitaka si inaweza ikapanua mipaka tu. Issue ni infrsstructure.

Je, wajua ya kwamba Dar ni mara mbili ya New York kwa ukubwa?

Na je, jinsi umesema hapo juu, kweli unasadiki ya kwamba Kigali ni kubwa kushinda Nairobi.....au hata Kampala?

Issue hapo ni mipaka iliowekwa na serikali husika kulingana na mipango yao ya miji hayo.
A superb explanation, pia Dar ni kubwa kuliko Hong Kong City., lakini hauwezi linganisha.
 
By the way, size ya mji sio issue. Govt ikitaka si inaweza ikapanua mipaka tu. Issue ni infrsstructure.

Je, wajua ya kwamba Dar ni mara mbili ya New York kwa ukubwa?

Na je, jinsi umesema hapo juu, kweli unasadiki ya kwamba Kigali ni kubwa kushinda Nairobi.....au hata Kampala?

Issue hapo ni mipaka iliowekwa na serikali husika kulingana na mipango yao ya miji hayo.
Yeye alikaa chini akajiuliza atoke vipi akaamua aje na za size, lazima apoeshwe kama maharage yanayochemka asije akalipuka bure jombaa. [emoji1]
 
Back
Top Bottom