Mindset za Vijana kuhusu Ajira

Unaamini kweli Bakhresa alianza kwa kushona viatu! Seriously! Ulitakiwa kuanza na mdogo wako uliyemzungumzia Charity...........
Hata kama alianza na nini kwani kuna biashara ilianzia juu? usha somo historia za Cocacola?

Usha ona Ofisi alio anza nayo mmiliki wa Amazon? na kwa sasa ndo tajiri namna 1 duniani?

Hahaha hakuna Kampuni hata moja ilio anzia Top.
 
Wahanga hao
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hata kama alianza na nini kwani kuna biashara ilianzia juu? usha somo historia za Cocacola?

Usha ona Ofisi alio anza nayo mmiliki wa Amazon? na kwa sasa ndo tajiri namna 1 duniani?

Hahaha hakuna Kampuni hata moja ilio anzia Top.
Kweli kiongozi Vijana Wenzetu wanataka waanze na Mitaji ya mabilioni tu...hizi story za kuanzia chini wanaona wanachelewa sana
 
Fact
 
Ni Upuuzi tu maneno ambayo huwa hayajafanyiwa tafiti hata kidogo. Ukute hata muandisha anaandika hayo akiwa ofisini kwa muajiri wake miguu juu anaiba muda wa muajiri, basi anajiona ana akili nyiiingi sana kuwa muajiriwa na wale ambao hawana ajira na hawajajiajiri ni malofa na WAZEMBE tu. Hizo nadharia na upuuzi wenu uliojaa mambo ya kufikirika ungekuwa reality nani angekuwa masikini au nani anagetafuta ajira?
 
KILICHOKUTOA ACT KIKAKUPELEKA CCM NDICHO KINACHOKUFANYA UANDIKE HUU UGORO, unatudhalilisha vijana wenzio
 
Umeeleweka mkuu nitashirikiana na Wangapi message hii ni kwa vijana milioni 17 nchi nzima ambao hawapo kwenye ajira rasmi hata Bakhressa alianza hivyo hivyo kidogo na na ufundi viatu mara ice cream sasa yupo wapi now
Una mawazo mazuri, lakini tuambie wewe una miaka mingapi sasa, na umejikita kwenye lipi kati ya hayo?

Maana kwa tunaokufahamu tunajua kuwa kwa kiasi kikubwa ulitumia majukwaa kama malumbano ya hoja,(ITV) kujiuza ili kufikia malengo yako kuwa mchambuzi wa maswala ya kijamii ikiwemo siasa, ukaachana na ualimu wako uliosomea(hapa naamini ulikimbia maslahi duni katika fani ya ualimu)
Haukufikiria kuanza kama bakhresa kushona viatu, au kutengeneza karanga, au kuanzisha biashara yoyote kiasi kwamba sasa hivi ungekuwa mbali, kwanini?
Hii inanikumbusha aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro miaka michache iliyopita, mkuu huyo ni PhD holder, mara nyingi alisisitiza akitembelea vyuo vya elimu ya juu, "Vijana msitegemee ajira, elimu uliyoipata inatosha kukufanya wewe kuwa mwajiri wa wengine"

Baada ya rais Magufuli kumuengua kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa, pasi na aibu, aliomba Mh. Rais amhurumie kwa kumrudishia ajira yake ya ukuu wa mkoa, akisema yeye ni maskini, hana pa kuanzia, na anategemewa na familia!!! akaenda mbali zaidi kwa kuungama kabisaa!! Naomba kumnukuu, "Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana! "
Huyo ni PhD holder, aliyekuwa na wadhifa mzito serikalini, vipi hawa wasio na hata chembe mitaji!!!
Tafakari.
 
Umesema sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…