Mindset za Vijana kuhusu Ajira

Mindset za Vijana kuhusu Ajira

kwa nini usifanye wewe uwe tajiri, hizi ni porojo kutaka kuonesha tatizo kwa wengine.

yaani umewaza kimkunduchi sana,gharama za karanga zile hadi kuwa tayari unajua ni kiasi gani?

ama unajua zina kaangwa kwenye majiko ya kawaida na kufungwa kwenye vifungashio vya maandazi.

ingekuwa rahisi ivyo wauza karanga wa bukoba, biharamuro, kahama, nzege kwenye mabasi wangekuwa wamesha mpita diamond

hayo ni mawazo ya kiharate
 
Wewe juzi ulisifia kilimo leo jingine, Soma gazeti la mwananchi leo kuhusu waliojiajiri kulima mbaazi na hasara wanayopata

Mwananchi tarehe 21 March 2018

Usilaumu bila kutafiti, wewe unauliza maswali juu juu, Kwani tulipeleka madaktari India ili wajiajiri au watusaidie wakirudi kuepukana na magonjwa haya tunayoshindwa kuyafanyia tafiti

Sio kila alienda shule lengo lilikuwa akimaliza afanye biashara wengine tuliwapeleka waje saidia kufanya tafiti za kilimo kusaidia watu wengine

Wewe ni zero brain
Absolutely bro
 
Back
Top Bottom