K kaccy New Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Oct 13, 2012 #1 jamani naomba nifahamishwe kwa anayefahamu matokeo maombi ya chuo cha nishati na manidi lini?
P Paterne Member Joined May 27, 2012 Posts 85 Reaction score 16 Oct 13, 2012 #2 Kwan hcho chuo cha nishat na madin kiko wapi na kinaitwaje kwa msaada plz
I itungi pius New Member Joined Jul 19, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Oct 15, 2012 #3 kipo dodoma na kinwaitwa mineral resources institute(mri)
I itungi pius New Member Joined Jul 19, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Oct 15, 2012 #4 ila wao wanadai kuanzia tarehe 15 this month yanaweza kuwa tayari
Imany John JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 2,935 Reaction score 1,185 Oct 15, 2012 #5 kaccy said: jamani naomba nifahamishwe kwa anayefahamu matokeo maombi ya chuo cha nishati na manidi lini? Click to expand... Walisema watayatoa soon. Kwa msaada uwe unatembelea tovuti ya chuo. Wewe umeomba katika kozi mpya?au unataka matokeo yapi? Www.mri.ac.tz
kaccy said: jamani naomba nifahamishwe kwa anayefahamu matokeo maombi ya chuo cha nishati na manidi lini? Click to expand... Walisema watayatoa soon. Kwa msaada uwe unatembelea tovuti ya chuo. Wewe umeomba katika kozi mpya?au unataka matokeo yapi? Www.mri.ac.tz
B bhabcholo Member Joined Nov 4, 2014 Posts 50 Reaction score 12 Jan 6, 2015 #6 iman hata mimi natafuta hayo matokeo ni mwanafunz wa huko kama una mtu unayemfahamu yupo dodoma mpe reg no yako akutazamie
iman hata mimi natafuta hayo matokeo ni mwanafunz wa huko kama una mtu unayemfahamu yupo dodoma mpe reg no yako akutazamie