Mineral Resources Institute

Mineral Resources Institute

kaccy

New Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1
Reaction score
0
jamani naomba nifahamishwe kwa anayefahamu matokeo maombi ya chuo cha nishati na manidi lini?
 
Kwan hcho chuo cha nishat na madin kiko wapi na kinaitwaje kwa msaada plz
 
jamani naomba nifahamishwe kwa anayefahamu matokeo maombi ya chuo cha nishati na manidi lini?

Walisema watayatoa soon. Kwa msaada uwe unatembelea tovuti ya chuo.
Wewe umeomba katika kozi mpya?au unataka matokeo yapi?
Www.mri.ac.tz
 
iman hata mimi natafuta hayo matokeo ni mwanafunz wa huko kama una mtu unayemfahamu yupo dodoma mpe reg no yako akutazamie
 
Back
Top Bottom