Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Karibu bossOh safi sana asante kwa biashara hii am interested
Hapana bei ni ya kawaida na Quality ni nzuri piaBei inanishtua mbona kama ndogo na unyama wenyewe hamtatupiga na kitu kizito kweli
Hauhutaji vibali kwa sababu sheria za TCAA zinatoa vibali kwa drone zinazoanzia na uzito kwa Kg 7 na kuendeleaKwa nini hii haihitaji vibali vya TCAA?
Si hata kurusha tiara/ kite kwa sasa mpaka uwe na makaratasi ya mamlaka
kumbuka kuomba kibali kutoka sehemu husika kabla ya kuitumia au utakunjwa kama kambareOh safi sana asante kwa biashara hii am interested
Hauhutaji kibali mkuukumbuka kuomba kibali kutoka sehemu husika kabla ya kuitumia au utakunjwa kama kambare
matumizi ya drones yanahitaji vibali (sio kimoja), je hivo vingine?Hauhutaji kibali mkuu