INAUZWA Mini Drones kwa bei nafuu

INAUZWA Mini Drones kwa bei nafuu

Nimeelewa sana kuhusu uzito wa hizo drones na mimi nikaulizia kuhusu hivyo vibali vingine (siyo kimoja kinachohitajika)
Umeona hapo
Screenshot_20230105-171925_Chrome.jpg
 
Drone unaweza kuikunja na kuweka kwenye storage bag
-1089866802-1155720939.jpg
 
Control ya Drone ni pande zote

Juu na chini
Mbele na nyuma
Kushoto na kulia
360° rotation
 
Drone inaunganishwa na simu kupitia wifi na unapata videos na picha kutoka kwenye camera ya drone
-1088405101-893667911.jpg
 
Hauhutaji vibali kwa sababu sheria za TCAA zinatoa vibali kwa drone zinazoanzia na uzito kwa Kg 7 na kuendelea

Drone yetu ina uzito wa Gram 59 ikiwa yenyewe na ikiwa kwenye storage bag total weight ni 269 grams so hauhitaji kibali
Gram 59 unazijua?

Kwamba hio drone na dawa ya mswaki ya buku mbili hio dawa ya mswaki Ni nzito kuliko drone?

Hizo mota tu pichani Zina zaidi ya huo uzito , Bado battery ,body lake etc, angalia data vizuri other wise sio picha halisi ya unachouza
 
Naomba nikueleweshe kuwa hii ni mini drone sio mid size wala large ni MINI DRONE

Ina Gram 59 ikiwa yenyewe na Gram 259 ikiwa kwenye storage bag na accessories zake
 
Back
Top Bottom